Tsar

Article on other languages:

del.icio.us del.icio.us
Digg Digg
Furl Furl
Reddit Reddit
Rojo Rojo
Add to OnlyWire
Tsar wa mwisho: Nikolai II wa Urusi
Tsar wa mwisho: Nikolai II wa Urusi

Tsar ilikuwa cheo cha mfalme au mfalme mkuu katika Urusi na pia katika Serbia na Bulgaria.

Asili ya neno ni Julius Caesar aliyekuwa kiongozi wa Dola la Roma hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka 44 KK. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo. Cheo cha "Caesar" likawa "kaisar" kwa lugha ya Kigiriki na kuingia katika lugha za nchi zilizojaribu kuendeleza Dola la Roma:

  • "Tsar" wa Urusi tangu 1453 baada ya mwisho wa Milki ya Bizanti iliyokuwa mabaki ya Dola la Roma; baada ya Waosmani kuteka mji wa Konstantinopoli mtawala wa Utusi alimwoa binto wa Kaisari wa mwisho wa Bizanti akajitangaza kama mfuasi wake na Moscow kuwa "Roma ya tatu".

Tsar wa mwisho alikuwa mtawala wa Urusi Nikolai II aliyepinduliwa katika mapinduzi ya Urusi ya 1917.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Tsar" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Tsar kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Article keywords: tsar nicholas ii, tsar nicholas, tsar bomba, the last tsar, the lost world of nicholas and alexandra tsar, coronation ll nicholas russia tsar, tsar russia, tsar bomb, alexandra last nicholas tsar tsarina,

This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.