Jamhuri ya Afrika ya Kati

Article on other languages:

del.icio.us del.icio.us
Digg Digg
Furl Furl
Reddit Reddit
Rojo Rojo
Add to OnlyWire
ሃግሬ ኤርትራ
Jamhuri ya Afrika ya Kati
République Centrafricaine
Ködörösêse tî Bêafrîka
Flag of central Africa Republic Image:Centralaf22.PNG
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa Unité, Dignité, Travail
(Kifaransa: Umoja, Heshima, Kazi
Location of Central Africa Republic
Lugha ya Taifa Kifaransa
Mji Mkuu Bangui
Mji Mkubwa Bangui
Raise
Waziri mkuu
François Bozizé
Elie Doté
Eneo
 - Jumla
 -Maji
 -Eneo ya kadiriwa
622,984 km²
0%
Kadiriwa 42 duni
Umma
 - Kadiriwa
 - Sensa,
 - Umma kugawa na Eneo (kilomita)
3,683,538 Kadiriwa 124 duni
sensa (2003)
; 5.8/km² ([[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| 15 duni])
Chumo cha uchumi
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
$ 4.53 Billioni (156 ) kadir
$ 1,107 172 duni
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
Kutoka Ufaransa
>Augosti 13, 1960
Fedha CFA frank (XFA)
Saa za Eneo UTC +1
Wimbo wa Taifa Wimbo wa La Renaissance" (Sango Aina "E Zingo")
Intaneti TLD .cf
kodi za simu 236
République Centrafricaine
République Centrafricaine

Jamhuri ya Afrika ya Kati (Kifaransa: République Centrafricaine /ʀepyblik sɑ̃tʀafʀikɛn/ ama Centrafrique /sɑ̃tʀafʀik/) ni nchi Bara bila pwani Kati ya afrika. Imepakana na Chadi kaskazini, Sudan mashariki, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa kusini na Kamerun upande wa Magharibi. Nchi hii, hasa ina shikilia eneo tapakaa Sudani-Guinea savanna, na pia jangwa la Sahara eneo ya kaskazini na eneo ya msitu wa ikwete kusini. Theluthi mbili za eneo ya nchi hii zimetapakaa kwa Mabia ya mto Ubangi unao tiririka kusini kwa Mto Kongo, na theluthi ya eneo katapakaa kwa mabia ya mto Shari, unao tiririka kusini kwa Ziwa Chadi. Kwa sababu ya Utapakazi wa eneo kwa mabia ya mto Ubangi na mto Shari, Wafaransa wakati wa ukoloni waliita nchi hii Ubangi-Shari, ama Oubangui-Chari kwa kifaransa. Ilipokua koloni ya Ufaransa, Ubangi-Shari ziliwekewa mamlaka ya madaraka kama eneo ya Jamii ya Wafaransa mwaka wa 1958 lakini baadaye kupata Uhuru Agosti 1960. Kwa miaka mlongo tatu kutioka Uhuru, ‘Jamhuri ya Afrika ya Kati’ ilitawalwa na serikali za nguvu zilizo nyakua mamlaka bila demokrasia, lakini mwaka wa 1993, Kura za Demokrasia za kwanza zilifanywa na kumchagua Ange-Félix Patassé kuwa Rais. Lakini Rais Patassé alipenduliwa na Jenerali François Bozizé mwaka wa 2003. Jenerali Bozizé alishinda kura za kidemokrasia manamo Mai 2005 na kuiongoza nchi mbaka wa sasa.

Yaliyomo

Historia

Template:Tako

Historia ya Kale

Kuthahiri Afrika ya kati

Ukoloni wa Ufaransa

Uhuru

Siasa

Template:Tako Template:Siasa za Jamhuri ya Afrika ya Kati

Eneo

Tako la kifungu: Mikoa ya Jamhuri ya afrika ya kati

Jamhuri ya afrika ya kati imegawa kwa eneo 14, zinazoitwa (préfectures), na pia eneo mbili za uchumi (préfectures economique) na eneo moja yenye madaraka ya ujamaa commune. Na mikoa hii nayo imegawa zaidi kwa wilaya 71 zinazoitwa (sous-préfectures). mikoa ni: Bamingui-Bangoran, Basse-Kotto, Haute-Kotto, Haut-Mbomou, Kémo, Lobaye, Mambéré-Kadéï, Mbomou, Nana-Mambéré, Ombella-M'Poko, Ouaka, Ouham, Ouham-Pendé, na Vakaga; eneo za uchumi ni Nana-Grébizi na Sangha-Mbaéré; na eneo ya Ujamaa ni Bangui.

Jiografia

Template:Tako

Ramani ya Jamhuru ya Afrika ya Kati
Ramani ya Jamhuru ya Afrika ya Kati

Uchumi

Template:Tako

Watu

Template:Tako

Utamaduni

Template:Tako

ona pia:

Shauri kiwazowazo

Viungo vi nnje

Template:Zinazohusika


Habari

uchambuzi

maelekezo

kabila na ukoo

  • African Pygmies Utamaduni na muziki wa watu wa Jamhuri ya Afrika, picha na ulezaji wa ukoo.

Utalii


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia

This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.